msaada hapa wajameni...!!!

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
pc yangu haipeleki moto ktk monitor ukiwasha inawasha kama indicator ktk kile kitaa chake.......
hii monitor ukiunga na pc nyingine inawaka.......tatizo nini wakuu?????
 
labda psu yako haina nguvu ya kuiskuma pc+ monitor yako. wat kind of monitor are you using? umefanya recent additons kwa pc yako mfano video card mpya??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom