Msaada-granite vis vis porcelain tiles

chororingo

Senior Member
Jan 15, 2008
104
92
Wandungu habari za shughuli. Nilikuwa naomba kujua kwa anaye fahamu kati ya Granite tiles na Porcelain tiles ni zipi nzuri kwa ubora. Vilevile nataka kujua kati ya tiles za China na Spain ni zipi bora au nzuri. Nitashukuru kwa kupata ufafanuzi.
 
granite ni nzuri na ni zile zinazoteleza ,na ziwe za Spain,
 
Back
Top Bottom