Msaada: Gharama za kutalii mbuga za wanyama

danjaboy

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
236
401
Samahani wadau naombeni mnijuze gharama za kutalii mbuga za wanyama,kwa mbuga za manyara,mikumi na serengeti ama ambaye anajua ipi ni nzuri kuanzia huduma,pia gharama za viingilio,huduma za vyumba vya kulala,vyakula,pawe ni sehem nzuri kwa ajili honeymoon kwa sababu tunatarajia kwenda huko kupumzika na wife baada ya ndoa

Asanteni
 
Ninatarajia kuvisit mbuga mojawapo ya wanyama hapa Tz... Ningependa kupata experience kupitia uzi huu.... Lakini naona umedorora sana....Au ni wazungu tu ndo huwa wanakwenda huko?
 
Back
Top Bottom