Msaada:gharama za kusoma masters njue ya tanzania

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Wadau naomba kuuliza nchi ambazo ada ya kusoma masters na gharama za maisha sio kubwa ukiacha India na China.
 
Kaka jaribu kuangalia CANADA ile ya Kifaransa kule niliona jana online kuwa ada kule ni bei rahisi, sasa sijuhi kasma unaweza kupata chuo cha kiingereza huko kwani wao huwa wanjifanay ni wafaransa.
 
Gharama ya inategemea na nchi,chuo,kozi unayotaka kusoma na mji ambao utaenda kuishi...swali lako liko "too General" weka wazi zaidi.
 
try malaysia,indonesia,singapore,,,,ni kama 3000U$D,kwa course ambazo hazihitaji fieldwork kubwa hasa za arts na social sciences,ila kumbuka kuna expenses kibao ili kwenda huko...nakushauri utembelee balozi za hizo nchi,utapewa taarifa zaidi.
 
ungesema vizuri kaka,
coz siwezi kukutajia bei ya masters ya linguistic wkt wew wataka medicine,
 
try malaysia,indonesia,singapore,,,,ni kama 3000U$D,kwa course ambazo hazihitaji fieldwork kubwa hasa za arts na social sciences,ila kumbuka kuna expenses kibao ili kwenda huko...nakushauri utembelee balozi za hizo nchi,utapewa taarifa zaidi.

malaysia,singapore hizi nchi zinaendelea kwa kasi ya ajabu, fedha zao zimetengemaa sana siku hizi na hawatumii foreign currency, fees malaysia si chini ya usd 5000, accommodation, chakula etc total si chini ya usd 10,000 kwa mwaka. Singapore ni moja kati ya most expensive cities in the world.. kwa mwaka utahitaji si chini ya usd 20,000
 
kijana kama unajisomesha bora soma bongo balance itakayobaki uwe na kibiashara. Au tafuta scholarship. Nakushauri usipoteze pesa yako yote eti unatafuta MBA nje! labda kama ni fani ambayo haipo TZ na una uhakika ukirudi utapata kazi. MBA za kumwaga bongo siyo deal tena. Na MBA ni too general hasa kwa fresh graduate msaada wake ni mdogo kwenye soko la ajira
 
Back
Top Bottom