Msaada: Fundi wa kufunga mfumo wa TV cable

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wanajf wenzangu mambo vp?.Naombeni msaada kwa anayefahamu ni vifaa gani vinavyotakiwa ili niweze kufanya biashara ya kusambaza cable. Hitaji langu ni kuwa na chaneli zisizopungua 20 na umbali nitakaosambaza ni km 2.Tafadhali kwa aliye na uzoefu wa maswala hayo aniorodheshee vifaa hivyo.
 
Satlite Dish ,receiver 20 ,line amplifier rf mixer,cable urefu 2km .je ni cheneli zipi unataka kuzionyesha?zitaje ili kujua idadi ya madishi na aina ya receiver za kutumia.
 
Satlite Dish ,receiver 20 ,line amplifier rf mixer,cable urefu 2km .je ni cheneli zipi unataka kuzionyesha?zitaje ili kujua idadi ya madishi na aina ya receiver za kutumia.
Mkuu waya unaotakiwa kwa ajili ya main load ni wa ukubwa gani?
 
Boss tuelimishe wote ili na sisi tujaribu si unajua jf ni kisima cha mashule
 
Back
Top Bottom