msaada fundi mzuri wa simu

Nawe nae, simu bovu tupa tu. Unataka mpaka wajukuu waje kutumia?

FF sio majibu ya kiungwana haya.
Inawezekana kainunua wiki iliyopita na inahitaji mtaalamu tu kuweka sawa.
Kama wewe upo njema kiasi hicho cha simu ikigoma kidogo unatupa kule ujue kuna wenzako hali ni tofauti kabisa.

Mkuu mleta mada jaribu kueleza una simu gani na nini hasa tatizo lake, wataalamu wapo wengi humu watajaribu kukushauri nini cha kufanya, kama inatengenezeka au la au kukuelekeza fundi wa tatizo lako
 
Tuma aina ya cm na tatizo lake matatizo mengine huna haja ya kutafuta fundi unaweza kufanya wewe mwenyewe hasa ukielekezwa, faiza fox achana nae ana matatizo yanayotokana ma maji ya bendera ya ccm aliyokunywa so tumuhurumie na tumchukulie alivo si wakujibizana naye ni kujishushia heshima tu kuhangaika nae huyo.

************************** if u do other's thy'll do u more ****************************************
 
FF sio majibu ya kiungwana haya.
Inawezekana kainunua wiki iliyopita na inahitaji mtaalamu tu kuweka sawa.
Kama wewe upo njema kiasi hicho cha simu ikigoma kidogo unatupa kule ujue kuna wenzako hali ni tofauti kabisa.

Mkuu mleta mada jaribu kueleza una simu gani na nini hasa tatizo lake, wataalamu wapo wengi humu watajaribu kukushauri nini cha kufanya, kama inatengenezeka au la au kukuelekeza fundi wa tatizo lako

Huo ni ushauri mwema kabisa niliompa na wakitaaalm kabisa tena. Na wewe ngoja nikupe darsa:

Ukiona mtu anatafuta fundi na hata simu hataki kuitaja jina, ujuwe hiyo, kupoteza muda wa kuitengeza ni hasara kuliko kununuwa nyingine.

Huo ni ushauri wa bure, ukipenda upokee hukupenda uwache.
 
Simu yangu ni N95 yenye 8GB inatatizo la camera.

Mkuu try to be siriazi kidogo, unapoeleza kitu ili usaidiwe toa taarifa inayojitoshelaze. Usieleze as if kila mtu anajua tatizo lalo.
T(izo la kamera ndio lipi? Inaonyesha lakini haipigi picha? Picha zake zina ukungu? Au kamera haifanyi kazi kabisa, toa maelezo toshelezi mkuu ndio maana akina FF wanakwambia itupe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom