Msaada; frequency za star tv

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
JF
TV yangu imekata star tv kwa wa zaidi ya miezi miwili sasa nimewahi kusikia eti wamebadilisha frequency na hilo ndio linalo sababisha nikose.
mwenye frequency naomba anisaidie pia anisadie jinsi yakuziinstaa/kuziweka kwenye receiver ili niweze kupata star tv.
Nipo Korogwe, Tanga
natumia receiver ya mediaCom MFT - 930Plus

Asante
 
freq za star ni
3884 V 4900
 
Nenda menu then Intallation settings then manual search
Angalia kulia utaona maelekezo ya kuadd transponder bonyeza rangi ya button iliyoonyeshwa hapo
Jaza hizi
Frequency: 3884
symbol rate: 4900
Polarization: Vertical

Bonyeza Ok/Seach
 
asante sana waheshimiwa
ina maana hata nikipata frequency nyingine kama za channel O naweza kufuata utaratibu huo huo nikawa naipata
 
Je vp king'amuzi cha startimes na frequency za startv na itv. Nijuzeni km inawezekana.
 
asante sana waheshimiwa
ina maana hata nikipata frequency nyingine kama za channel O naweza kufuata utaratibu huo huo nikawa naipata

vertical au horizontal inategemea na position ya neflon(ki2 kama kisabuni) ndani ya lnb yako. Kwa hiyo ukiona haishiki ikiwa vertical weka horizontal.
 
Back
Top Bottom