Msaada for Nokia N70.

Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
3,226
4,730
Wakuu salam. Natumia simu aina ya Nokia N70. Na ndio imekuwa rafiki yangu mkuu katika swala la internate hasa napokuwa mbali na computer. Tatizo la simu hii haina huduma ya YOUTUBE, Je nawezaje kuinstall programme hiyo? Thanks.
 
ili utizame video inabidi uhakikishe simu yako inapokea 3g mahali ulipo otherwise gprs au edge haitakupa mtiririko mzuri wa picha. Nenda real player na define access point (AP) kuwa sawa na unayotumia ktk browser yako. Fungua m.youtube.com na ufungue file unalotaka na realplayer itacheza direct
 
kama unaapplication ya Ovi kwenye nokia yako basi ingia kwenye Ovi alafu search youtube then itakuja na utaweza kuidownload bila tabu
 
Back
Top Bottom