Msaada field za TICTS

Mponjori

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
2,205
549
Habari wanaJF wenzangu.nimepata field ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field hapo je,wana support yoyote ile?je wana kawaida ya kuajiri watu walioko field?..
 
Mie nshafanya field hapo.

We ni she/he?

Sasa ukimaliza chuo afu una Advanced Diploma inakuwaje tena unaenda "Field?"
 
Ur nt normal! na haueleweki, yani umemalza chuo then unaenda field?
 
Nenda kwanza stop digging, we hata hiyo field hujaripoti una anza kuulizia ajira. Shida yenu nyie vijana mko over ambitious
 
Back
Top Bottom