Msaada,facebook on nokia 5130c inasumbua!

chante

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
511
675
Wadau msaada wenu!natumia nokia 5130c express music na browser yangu ni operamini.!nikifungua facebook inaonesha version tofauti na simu nyngne,hata ile rangi ya blue&light blue haipo!ni kama inaonesha black&white!nimejaribu kuinstall mobile fb lkn hamna kipya..ni kama old version flani ya fb!kuna m2 kanambia ni simplified version lakn kwa uelewa wangu mdogo nimeona sio!kwa wenye uelewa ndugu zangu help me!mitando mingne ipo poa!
 
nokia ina in built app inaitwa facebook. Inafanya vizuri tu!
 
Mimi pia natumia Operamini 5.1 katika Nokia 5130 XpressMusic. Baada ya kusoma thread yako nikafungua facebook. Kweli nimekuta black and white, wametoa graphics. Huenda ni facebook wenyewe labda kuna ukarabati wanafanya au wameamua kutubania sijui au ni tatizo la server. Jibu kamili naona tusubiri. Zamani niliweza kupata desk top version lakini sasa wametubania. Ni suala la kungoja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom