msaada external yangu

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
jamani naomba mnisaidie wa jf,hard drive- external yangu inagoma kusoma kwenye komputa,nmejaribu kubadilisha komputa mbalimbali pia imegoma,kuna mtu amenambia kwamba ninaweza kuilicova sasa naomba mnisaidie nifanyaje ili niilicave,ni GB500 uwezo wake na vitu vyangu vya muhim vipo humo
 
Back
Top Bottom