Msaada DUCE

Charles Elias

Member
Aug 14, 2012
61
4
Jaman m naomba msaada kuhusu hik chuo cha Duce,tarehe ya kuripoti chuon kwa mwaka wa kwanza n tarehe ngapi kwa mwaka huu? Ahsant!
 
Tarehe 1/10/2012.... Kama una swali lingine uliza. Jitahidi sana ufike siku ya kwanza if possible Jumamosi ya tarehe 29/09/2012
 
Tunaripoti DUCE au main campus? Na hosteli ni zipi?
Unaripoti moja kwa moja DUCE, kuhusu Hosteli itajulikana baada ya kuwa usajiri na kulipa michango/ada unayodaiwa. Jipange na fungu la kufikia guest kama huna ndugu walau kwa siku 2 au 3. Kama una jamaa wa 2nd Year mwambie akupe uzoefu kidogo. DUCE kwa kawaida wanapewa vyumba Mabibo Hostel (kwa wanaume) na wanawake wachache wanapata nafasi kwenye hostel za chuo.
 
Ivi mazee Bsc. ED anakuwa nani na B.ED. Sc. anakuwa nani? Potelea mbali hata kama wote ni walimu je upi ni mzuri? Na je hiyo michango unaenda nayo mkononi au wao watajuana na bodi?
 
DUCE haifunguki inasema account suspended!,mwenye taarifa kuhusu joining instructn za chuo zinapatikana vp atueleze.msaada tafadhar!
 
Ivi mazee Bsc. ED anakuwa nani na B.ED. Sc. anakuwa nani? Potelea mbali hata kama wote ni walimu je upi ni mzuri? Na je hiyo michango unaenda nayo mkononi au wao watajuana na bodi?

Mkuu zote hizo ni chaki tu mpaka yesu ashuke..
 
Back
Top Bottom