mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,060
- 630
wadau naombeani msaada wa kupata Display ya TOSHIBA satellite L500 ya inch 15.6. kama unayo ww au unaweza kunipa mwongozo napoweza pata hapa DSM itakuwa poa. Call 0714472920
Wasiliana na Hawa watakusaidia
Tumsifu (Kariakoo) 0655109396
Maisha computers(Moro road nxt to Old bus stand): 0715404040
wanauzaga sh ngapi lcd display za 15.6 inches