Msaada details za chuo cha madini dodoma !

the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,959
1,894
Nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
Thnx
 
polen apply kwa UDOM chuo cha Madini ni sehemu ya UDOM

Po Box 1696 Dodoma, email info@mri.ac.tz maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.
 
Sasa nikakomae vp na mi tayar ni INJINIA NZURI PESA
 
nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
Thnx

ee bwana mambo niaje napata ytatizo namna ya kupata details za kujiuga na chuo cha maini dodoma, tafadhari naomba mnisaidie.
 
duuh.....TZ yetu kazi ipo, siku hizi ulaji unamulikwa kinoma noma...hiki chuo cha madini nadhani wamejaa watoto na ndugu wa vigogo tu sababu ndiko kwenye ulaji na michuzi kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom