Msaada dell laptop inspiron 6000

Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
544
328
Habari zenu wanajamii forum. Nina tatizo la sauti katika dell Inspiron 6000 hili limekuja baada ya kuachana na Window XP na kuanza kutumia Window 7. Nimejaribu kadri ya uwezo wangu imeshindikana. Vilevile naomba kujua wapi naweza kupata BETRI ya DELL INSPIRON 6000 hapa TZ.
 
Duh kama window ni genuine nenda online fanya update ya audio itakuwa sawa. Unaclick pale kwenye software kisha unaupdate
 
Habari zenu wanajamii forum. Nina tatizo la sauti katika dell Inspiron 6000 hili limekuja baada ya kuachana na Window XP na kuanza kutumia Window 7. Nimejaribu kadri ya uwezo wangu imeshindikana. Vilevile naomba kujua wapi naweza kupata BETRI ya DELL INSPIRON 6000 hapa TZ.

jaribu kudowload na kuisntall hili file copy hii link chini kama ilivyo kwenye adress bar
ftp://ftp.dell.com/audio/R99254.EXE

Ikishindikana jaribu huyu
SigmaTel High Definition Audio CODEC - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Na mwisho jaribu hapa Latest Sigmatel / IDT Modded Drivers for Win 7 and Vista - LaptopVideo2Go Forums

Dah Ahsante sana mkuu hiyo ya kwanza imenisaidia, yaani nilikuwa na tatizo kama la jamaa hapo juu ni dakika kama kumi tu hivi mambo yamekubali Bado VGA kama kuna uwezekano naomba unisaidie.
 
Kuhusu VGA tembelea site ya manfacture wa VGA card ambao ni AMd au ATI
nadhni hii ni moja ya site zao jaribu kudowload na kuweka hiyo software ya kwanza

ATI Radeon

Vile vile tembelea hii site ya amd http://support.amd.com/us/gpudownload/windows/Legacy/Pages/radeonaiw_vista32.aspx

jaribu hiyo catalyst suite.

Kama unazo driver za vista jaribu pia. zinaweza kufanya kazi kwenye window7 bila shida.

Ikishindikana jaribu ya pili zikigoma lete feedback naweza kukutafutia nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom