Msaada sehemu ya kudownload nyimbo

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,120
7,911
Habari wapendwa....
Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa.....

NB...
Waptrick kuna nyimbo nazikosa....
Tubidy tangu ibadilike inanishinda..
Nataka audio tu..

Staki zile website uchwara kila mara click here had page zinafika mia huko sion kitu...

Pia sitaki zile nadownload zinanipeleka play store....

Asanteni in advance!!!...
 
Maranyingi napakua kwa kuanza na
1-opera browser.
2-Kisha naandika YouTube.
3-Ikifunguka, na search nyimbo/ jina la msanii.
4-Then, ikikuja naifanyia editing pale juu.
Kuna maandishi mengi lakini nenda hadi kwenye //m.youtube, kisha toa (m.) m na dot, kisha weka ss, them search.
Baada ya hapo itakuletea kama ni video kisha unaipakua.
Lakini kama unataka uipakue kama nyimbo pekee.
Shuka chini kwenye option na kisha utachagua option ya mp4, kisha unaipakua
 
Maranyingi napakua kwa kuanza na 1-opera browser.
2-Kisha naandika YouTube.
3-Ikifunguka, na search nyimbo/ jina la msanii.
4-Then, ikikuja naifanyia editing pale juu.
Kuna maandishi mengi lakini nenda hadi kwenye //m.youtube, kisha toa (m.) m na dot, kisha weka ss, them search.
Baada ya hapo itakuletea kama ni video kisha unaipakua.
Lakini kama unataka uipakue kama nyimbo pekee.
Shuka chini kwenye option na kisha utachagua option ya mp4, kisha unaipakua
Ntajaribu sante
 
Habari wapendwa....
Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa.....

NB...
Waptrick kuna nyimbo nazikosa....
Tubidy tangu ibadilike inanishinda..

Staki zile website uchwara kila mara click here had page zinafika mia huko sion kitu...

Pia sitaki zile nadownload zinanipeleka play store....

Asanteni in advance!!!...
Tafuta application ya video order kama wataka video pia hapo hapo inasehemu ya kuiconvert iyo video kuwa audio....
 
1475181475344.jpg

fungua browser
 
Audiomack hii ni ya hip hop za kinyamwezi lakini kwenye search weka jina unalotaka na wimbo unakuja hata kama ndio kwanza umetoka wa bongoflava.
 
Back
Top Bottom