Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

pole sana ndugu yangu kwani ata mm nilikuwa na tatizo km lako lakini xx limekwisha ila watu wengi wanahamini ya kwamba labda ukiwa na kunguni ww ni mchafu iyo ni zans potofu kunguni ni wadudu ambao wansishi ktk hali ya kujificha unaweza kuwapa aidha kwa kutembelea ktk mahali kwenye hso wadudu alafu wakakupata ukaondoka nao uksja nao nyumbani wakafanya makazi lkn inachukua mda mbaka kilitamnua ilo ns ukiwaona wanaonekana ujue wapo wengi sana na wana mayai, sasa lakufanya toa kila kitu chumbani kwako fanya usafi wa kawaida nenda kwenye duka ls dawa za mifugo uliza dawa inayoitwa,KAYAZINON chini kuna maandishi madogo DIAZINON kwenye kifuniko juu kuna maandishi DERA,fata maelezo ya kwenye dawa hakikisha unapuliza kila sehemu ya chumba kusnzia juu kwenye siring board mpaka kwenye kuta hakikisha kila kitu unakipulizia mungu atakusaidia.......

Mulugo @ work
 
isee pole sana mkuu. toa kila litu ndani weka nje kwenye jua kisha nyunyizia dawa chumba
 
Mkuu kama upo Dar nenda pale kariakoo shimoni sehemu wanayouza dawa za mifugo na ukiwaambia unataka dawa ya kunguni watakupatia

Kariakoo zinapatikana lakin Kiboko ya kunguni ni dawa inaitwa Acteric Super,ziko katika mfumo wa powder na maji,litre moja ni elfu sabini. Acteric zipo za aina nyingi lakin akikisha imeandikwa SUPER
 
Duuuuh... mkuu umenigusa... jana kwa kihere here nikajipeleka kwa mtu nikalala huko huko.... sikulala... nililiwa hadi asubihi ila sikujua ni nn... asubuhi kumuuliza akaniambia kunguni... nmefika geto mda si mrefu, nguo nilizokua nmevaa nmevulia mlangoni, nmezifua.. sasa nawaza sijui nimewaleta hapa geto!!! Maana hao wadudu ni balaa... jamaa mwenyewe kasema ameletewa kapiga madawa ya kila aina ila hawaishi
 
Watafute wale vijana wa "...ni sumu ya panya, mende, kunguni, viroboto, dawa ya kuua mchwa, sumu ya popoooo na dawa ya kuku"

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Toa KItanda nje na ukisafishe kwa maji ya moto, kikishakauka hakikisha kila kona ya kitanda ambapo kuna uwezekano wa kunguni kujificha mwagia mafuta ya taa, au anza kuwatafuta mmoja mmoja kona hadi kona na kuwamwagia mafuta ya taa, kama ni mchumi sana unaweza kutumia pamba ili yasiende mafuta mengi. Ukishamaliza hilo zoezi kagua kwenye godoro kama wapo pakaa mafuta ya taa, chumbani ukutani safisha na maji ya moto au na sabuni ya unga kisha sehemu ambazo wanaweza kujificha ukutani pakaa mafuta ya taa.

Baada ya hilo zoezi usipokuwa na ukakika kama wameisha rudia kesho yake, nakuhakikishia utalipiza usingizi wako uliopotea.

daaaah asante sana mkuu,ntaufanyia kazi ushauri wako...
 
Duuuuh... mkuu umenigusa... jana kwa kihere here nikajipeleka kwa mtu nikalala huko huko.... sikulala... nililiwa hadi asubihi ila sikujua ni nn... asubuhi kumuuliza akaniambia kunguni... nmefika geto mda si mrefu, nguo nilizokua nmevaa nmevulia mlangoni, nmezifua.. sasa nawaza sijui nimewaleta hapa geto!!! Maana hao wadudu ni balaa... jamaa mwenyewe kasema ameletewa kapiga madawa ya kila aina ila hawaishi

mkuu kuwa makini yaani hata ukiingia nao wawili tu chumbani kwako basi ujue hilo ni balaa... Kunguni mpaka waishe aisee sio kazi ndogo
 
Kariakoo zinapatikana lakin Kiboko ya kunguni ni dawa inaitwa Acteric Super,ziko katika mfumo wa powder na maji,litre moja ni elfu sabini. Acteric zipo za aina nyingi lakin akikisha imeandikwa SUPER

Mmmnh litre moja ni elfu 70!!!! asante mkuu kwa ushauri ila uwezo wa hela hiyo sina
 
pole sana ndugu yangu kwani ata mm nilikuwa na tatizo km lako lakini xx limekwisha ila watu wengi wanahamini ya kwamba labda ukiwa na kunguni ww ni mchafu iyo ni zans potofu kunguni ni wadudu ambao wansishi ktk hali ya kujificha unaweza kuwapa aidha kwa kutembelea ktk mahali kwenye hso wadudu alafu wakakupata ukaondoka nao uksja nao nyumbani wakafanya makazi lkn inachukua mda mbaka kilitamnua ilo ns ukiwaona wanaonekana ujue wapo wengi sana na wana mayai, sasa lakufanya toa kila kitu chumbani kwako fanya usafi wa kawaida nenda kwenye duka ls dawa za mifugo uliza dawa inayoitwa,KAYAZINON chini kuna maandishi madogo DIAZINON kwenye kifuniko juu kuna maandishi DERA,fata maelezo ya kwenye dawa hakikisha unapuliza kila sehemu ya chumba kusnzia juu kwenye siring board mpaka kwenye kuta hakikisha kila kitu unakipulizia mungu atakusaidia.......

Asante mkuu ushauri wako ni mzuri.. ngoja nikaitafute hiyo dawa
 
Kunguni sio uchafu wala nini wale ni wavamizi tu ukimpata mmoja tu mwenye mayai basi akifanikiwa kujificha kitandani utajuta hata kiwe kisafi vipi. Kama ingekua ni uchafu basi tungewaona sana majalalani.

Hiyo point mkuu... mana ata hapa mtaani niliwaomba watu ushauri kuhusiana na hili basi wakaanza kunisema eti mi mchafu aaaargh kunguni sio kwa ajili ya uchafu...
 
Mimi niliishi sana South Africa ambapo nikiwa huko niliwahi patwaga sana na tatizo la Kunguni, nikafundishwa dawa ya kuwaua Kunguni wa Kisauzi ! Bahati mbaya tangu nimerudi Tz sijaijua dawa ya kunguni wakiTanzania!

Duuuhh kumbe kunguni nao wamegawanyika kimataifa...basi hawa wadudu kiboko
 
Hahahaaa umenikumbusha mpangaji wetu alipata mgeni, akaniomba nilale nae....mgeni akaja na Mto wake....aisee ndo akawapandikiza....walinisumbua wale wa dudu...nlisaka makazi yao kila kona holaaa...
Kuna siku nikamuona anatoka kwenye MTO....nliuchoma motoooo..

Yani nikiwaona na usingizi unapaa......

hahahahaha baada ya kuchoma moto vipi waliisha au?
 
Back
Top Bottom