msaada dawa ya kunenepa

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
kama kuna mtu anajua vidonge ama dawa za mtu akitumia ananenepa kwa mwanaume maana nimechoka kuwa mwembamba anambie
 
Bange nibangueeee ukitaka JF i-shaine basi nyimamadogookumanga eheeee nyimamadogookumangaa!
 
nasikia ARV ni kiboko au zile dawa na chakula cha kuku wa kisasa.
 
Jamani natamani tubadilishane.

Dawa ni hii.
Ingiza calories nyingi zaidi ya unazoziunguza.
Kama mwili wako unafanya metabolism vizuri, basi ongeza na uvivu!

Ukitaka remedy ya haraka, wekewa drip ya blueband! Kidding.
 
Eat junk food, yaani chips, nyama kwa wingi, starch kibao, chakula kipikwe na mafuta mengi,sukari nyingi tu nk. Kwa kifupi uwe na intake ya protein nyingi kuliko inavyounguzwa.
kama kuna mtu anajua vidonge ama dawa za mtu akitumia ananenepa kwa mwanaume maana nimechoka kuwa mwembamba anambie
 
Kula kwa wingi kitimoto na bia au na coca cola,na punguza ule mchezo wa baba na mama.
 
nimeamini maneno yasemayo wakati mtu unajiuliza wa nini,wenzio wanajiuliza nitaupata lini!
 
Simpo. Kula majunk na hovyo hovyo uone. Kama uko Bongo sahau otherwise uwe na pesa ya kula chips zilizokaangwa kwa mafuta ya mwaka jana. Kula hovyo hovyo au bukanya au pwakia kama uko Bongo. Ila ni rahisi kutamani unene ukishaupata kuuondoa litakuwa tatizo kubwa kuliko huko kukondeana kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom