msaada,data recovery software,webcam.ya dell

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
wana jf,naomba msaada kwa m2 mwenye software yenye kurudisha data katika HD,fLASH N.K,PIA WEBCAM YA DELL N4050(WINDOW 7)naomba anisaidie,natanguliza shukrani
 
Kama upo Dar ni pm.nnayo software ya data recover.nikupatie
 
wakuu, naomba msaada (note: ujuzi wangu wa computer zaidi ya kuitumia ni wa mchangani kidogo)
..juzi nimempatia jamaa mmoja fundi laptop yangu anibadilishie operating system, in advance nilimuomba ahakikishe anarudisha mafaili yote yaliyokuwepo awali including e mail zilizokuwa kwenye outlook,baada ya kumaliza alifanikiwa kurudisha file zote isipokuwa mails zilizokuwa kwenye outlook ambazo ni muhimu mno kwangu, jana ameweka softwareya files recorvey ambayo tangu jana mchana hadi saa hii hiki ki- icon kinaonyesha bado haijafika nusu pamoja na kuwa imelala ikiwa on, tafadhali naomba msaadakama kuna njia nyingine rahisi ya kufanya hivi
 
Pole sanaKama upo Dar tafadhali nenda DATA RECOVERY wapo Amani Place opposite ( SERENA HOTEL) Movenpick ya zamani... ila bei zao sizijui...ila jiandae na kitita kwani wapo PRIME LOCATION...
 
pole sana mkuu. Software gani amekuwekea? Inaitwaje? Nadhani hiyo software haukuchagua unataka kurecover aina gani ya files yani umechagua unataka kurecover kila kitu ndiyo maana inachukua muda hivyo. Kama vipi download hii hapa
EASEUS Data Recovery
EASEUS Data Recovery hii ni free version haihitaji keys wala crack. install tu na uanze kutumia. Sasa ukianza kuitumia kurecover kuna sehemu utatakiwa uchague unataka kurecover aina gani ya file. So itabidi uchague mafile ya outlook in order to narrow the search.
 
appreciate mukubwa! niko nje ya dar hadi jumamosi,kama nitakuwa sijafanikiwa nitapitia
 
pole sana mkuu. Software gani amekuwekea? Inaitwaje? Nadhani hiyo software haukuchagua unataka kurecover aina gani ya files yani umechagua unataka kurecover kila kitu ndiyo maana inachukua muda hivyo. Kama vipi download hii hapa
EASEUS Data Recovery
EASEUS Data Recovery hii ni free version haihitaji keys wala crack. install tu na uanze kutumia. Sasa ukianza kuitumia kurecover kuna sehemu utatakiwa uchague unataka kurecover aina gani ya file. So itabidi uchague mafile ya outlook in order to narrow the search.
mkuu nakushukuru, yaani sijui hata inaitwaje hii waliyoniwekea..naona vinamba namba vinakimbizana tu tangu jana mchana mchana na sijaizima hii laptop,nitajaribu kutafuta wataalamu zaidi niwaepe maelekezo yako kiongozi,thanks
 
Back
Top Bottom