Msaada- Daktari wa Masikio

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Ndugu,
Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mungu awabariki.
 
Dr Kimario....ana clinic private pale Namanga karibu na duka la LUKU, huyu ni rahisi kumuona anakuwepo hapo kila siku jioni!
Dr Edwin...anapatikana Muhimbili idara ya masikio, koo na pua...pia anapatika Regency hospital na Tumaini hospital.
 
Ndugu,
Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mungu awabariki.

Mkuu, nimesumbuliwa sana na tatizo la masikio zaidi ya miaka kumi. Nimekuja kumpata Daktari mmoja ambaye amekomesha shida yangu. Anaitwa dr. Ekenywa, Anapatikana Ekenywa Dispensary magomeni. Ni specialist ambaye amefanya kazi Muhimbili miaka mingi lakin kwa sasa ni mstaafu. Nina number yake ya simu, kama utahitaji kwa mawasiliano zaidi.
 
Naomba mawasiliano yake mkuu km bado yupo
Nitumie 0716 282 670
 
Back
Top Bottom