Msaada: Conference online registration form

Lasikoki

JF-Expert Member
Jan 10, 2010
640
118
Hello Wanabodi!

Tafadhali naombeni msaada wa namna ya kutengeneza an "online registration form" for a scientific conference. Nahitaji watu wafanye registration online halafu wapate auto-reply to confirm kwamba wamefanya registration.

Wakuu nianzie wapi? Naombeni msaada coz site mbalimbali nilizotembelea wanataka pesa ndefu tu halafu kama vile wao wanakuwa ndio wana-monitor mambo yote

Please saidieni wandugu
 
Je unayo tovuti tayari ambayo hao watu wataenda kusajili. Kama huna hata tovuti then mhhhh........ best way wasiliana na invisible wakupe host hata ya muda mfupi(Kama wanayo pacage hiyo ) na kukutengezea hiyo fomu. Kama unayo Tovuti na iko hosted sehemu ambako wana Database. basi sio kazi ngumu sana...

Kutengeza form si kazi kubwa sana sababu script zipo nyingi online ni kiasi cha kuichukua na kuchakachua kidogo iendane na mazingira yako na kubadliisha baadhi ya mambo.
 
Hello Wanabodi!

Tafadhali naombeni msaada wa namna ya kutengeneza an "online registration form" for a scientific conference. Nahitaji watu wafanye registration online halafu wapate auto-reply to confirm kwamba wamefanya registration.

Wakuu nianzie wapi? Naombeni msaada coz site mbalimbali nilizotembelea wanataka pesa ndefu tu halafu kama vile wao wanakuwa ndio wana-monitor mambo yote

Please saidieni wandugu

Kaka unaweza ukacheki na mimi nikakusaidia iyo kitu... ila ni vizuri ukiwa na website, takusaidia kwa gharama nafuu kabisa ikiwezekana bure kabisa.... pia unaweza kutembelea site ifuatayo wenyewe unaweza ukacreate event alaf watu wakaregister kisha wanatumiwa online ticket.... pia google wanatoa service kama iyo for free ila kwenye suala la kuwatumia auto reply ndo utataa kidogo kwa google... kama utakwama nicheki naweza kukupa msaada zaidi
 
Kutengeneza form from scrach ni kazi sana kwani inahitaji uelewa mkubwa wa Javascript na language nyingine. Chamsingi ni kutafuta script ambayo utaweka codes kwenye website yako mfano mimi kwenye website yangu natumia Email Me Form™ - HTML Forms, Web Forms, PHP Forms for FREE halafu naweka email ambayo message zote zinazotoka kwenye form zinaingia. Baada yapo kwenye hosting provider wangu kuna kitu kinaitwa Auto Responders ambayo ikiingia tu email yoyote itareplay kwenye hiyo email kama nilivyodesign auto responder.
 
Nimefanya ka research mtandaoni haraka haraka baadhi options nyingine unazoweza kutumia ni

  • kama huna tovuti njia ya nafuu/haraka kuanzisha tovuti/blog kutumia script za Worpress au Joomla. Kuanzisha tovuti kutumia hizi script haitaji utaalaam mkubwa sana. hata ukitafuta mtaaama akitumia njia hii gaharama zitkuwa ndogo/free.

Baada ya kusimika joomla au Wordpress unatafuta plugin/extension au unaweza kuziita apps za event management/resgistration . Zipo nyingi badhi ni free na nyingine ni pesa kiasi

Kwa wordpress kuna hii Plugin inaitwa event registration . Ina features nyingi zaidi ya zile ulizotaka na ina option ya kuchukua malipo online kwa wanaosajili kama conference ni ya kuipia. Kuna option ya wait list. Ukiweka event yako unataja idadi ya watu. so ikifika ile idaidi basi watakaaozidi wanatumiwa emai automatc kuwa wapo kwenye wait list . PIa ina CAPTCHA. Kwa haraka haraka nimeitest ni nzuri . Ina hata gmap kuonyesha sehemu conference itakapofanyika kuingana na details ulizoingiza.

Unaweza cheki hapa hapa niikuwa naijaribu hiyo app ya event kwa confrence feki ya mbagala. Hi plugin ni free

ukiamua kutumia Joomla naona apps nzuri zinahitaji pesa. Si pesa nyingi.Kuna app/extensin kama event booking ya OSsolution , DT register etc . Lakini pia Zipo pia za free kama seminar .

Ukihitaji msaada wa zaidi wa kiufundi au ushauri uliza
 
Back
Top Bottom