Msaada:Cheapest flights to Dar Es Salaam...

Kakulwa

Senior Member
Oct 10, 2008
113
29
Mods tafadhali najua hapa si mahali pake lakini naomba muiache kidogo walau isomwe na wengi maana jukwaa hili ndilo linapitiwa na wanachama wengi zaidi.
Kwa sasa niko schengen huku nafanya kakozi fulani sasa nataka kwenda Tanzania december kwa xmas.Hapa nilipo the cheapest flight ina cost kama USD 1200 round trip.Sasa nilikuwa naomba kama kuna mtu ambaye kule anakoishi(schengen) kuna ndege za bei nafuu kidogo lets say less than 1000USD basi anijulishe.Nimejaribu google naona inanizingua tu.
Asanteni wakuu
 
naamini unaweza kupata. lakini uwe tayari kutumia masaa kama 24 kabla hujafika bongo. jaribu kuangalia ndege za mashirika ya uarabuni.
 
KLM wana special offer wanatimiza miaka 10 kuja Tanzania . watafute haraka ticket ni kama euro 500 roud trip .
 
Pekua pia Swiss Air. Wana bei nzuri ingawa nao hiki kipindi mhhh.....
 
Egypt Air! Simmshauri mtu.

Yaani hawa jamaa mie sintowasahau maishani mwangu. Mawaka 2001 September, nilikuwa nakwenda UK for the first time kusoma na nikakata hi ndege.
Kama kawaida wakati wa check in tulikaguliwa Pasi zetu pale DIA, supprisingly kufika Cairo Pasi zetu zikakusanywa tena.

Kutahamaki jamaa wakaniambia kuwa eti Pasi ile haikuwa ya kwangu ila niligushi tu nikabandika picha yangu.. na sikuwa peke yangu. Tukapigwa chini na kurudishwa makwetu.

Since then..sijapanda tena ndege za hawa waarabu... ama kweli nimeamini bure ghali. Kakayangu chukua BA bana..achana na rahisi Kuna muhindi mmoja alisema chip chip not gud!
Kingwele.
 
Egypt Air! Simmshauri mtu.

Yaani hawa jamaa mie sintowasahau maishani mwangu. Mawaka 2001 September, nilikuwa nakwenda UK for the first time kusoma na nikakata hi ndege.
Kama kawaida wakati wa check in tulikaguliwa Pasi zetu pale DIA, supprisingly kufika Cairo Pasi zetu zikakusanywa tena.

Kutahamaki jamaa wakaniambia kuwa eti Pasi ile haikuwa ya kwangu ila niligushi tu nikabandika picha yangu.. na sikuwa peke yangu. Tukapigwa chini na kurudishwa makwetu.

Mkuu,
Kwanza pass za sasa hivi kuna fingerprints na si kama zamani.

Pili hiyo ilikuwa mwaka 2001, na leo hii tunaingia mwaka 2010.

Mwisho yeye tayari yuko Europe na anaenda Tanzania. Sidhani kama hata Wazungu na ukorofi wao watamsumbua.
 
Back
Top Bottom