Msaada: Camera inayotoa picha na kuzuia vitu vya nyuma na pembeni

mrs fiance

JF-Expert Member
May 24, 2016
352
163
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri.

Je ni huwa wanatumia camera gani mfano wasaniii
 
nasikia ni kamera za sony..ila ngoja waje wale maphotogenic watupe maelezo zaidi.
 
camera yoyote tu nzuri unaweza ile ni trick tu ya upigaji picha au editing.

trick ya kupiga picha
angalia hii video

trick ya editing ie photoshop
fungua photoshop load picha yako halafu bonyeza ctrl+j kuduplicate ziwe mbili halafu nenda filter then blur tafuta blur unayopenda na kiasi then futa blur kwenye potrait acha kwenye background
 
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia.na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri.je ni huwa wanatumia camera gani.mfano wasaniii
Tumia hata picsart kwa kuanzia unaweza weka blur hzo unavyotaka ww
 
Ni hivi, ukiachana na app au software kuweza kufanya vile... Ila ile inaitwa blur kwa lugha ya wenzetu ni namna camera inavyo focus kwenye subject ambayo ni kitu kitakacho kuwa kipaumbele kwenye macho yako utakavyo kuwa unatazama picha hiyo. Sasa kinachofanya hadi picha kutokea vile ni namna unacho kipiga kiko umbali gani na background na namna mwanga unavyo mulika kilichopo mbele na vilivyopo nyuma... Mwishoni ndio unapata picha ya namna hiyo unayo ongelea. Kwa sasa hadi simu zimeanza kutoka zenye uwezo huo ambazo mwanzo ni camera kubwa maarufu kama DSLR zilikuwa zinauwezo huo wa kuchukua picha
1474491654763_lc_galleryImage_BARCELONA_SPAIN_SEPTEMBER.JPG
 
camera yoyote tu nzuri unaweza ile ni trick tu ya upigaji picha au editing.

trick ya kupiga picha
angalia hii video

trick ya editing ie photoshop
fungua photoshop load picha yako halafu bonyeza ctrl+j kuduplicate ziwe mbili halafu nenda filter then blur tafuta blur unayopenda na kiasi then futa blur kwenye potrait acha kwenye background
 
camera yoyote tu nzuri unaweza ile ni trick tu ya upigaji picha au editing.

trick ya kupiga picha
angalia hii video

trick ya editing ie photoshop
fungua photoshop load picha yako halafu bonyeza ctrl+j kuduplicate ziwe mbili halafu nenda filter then blur tafuta blur unayopenda na kiasi then futa blur kwenye potrait acha kwenye background
 
camera yoyote tu nzuri unaweza ile ni trick tu ya upigaji picha au editing.

trick ya kupiga picha
angalia hii video

trick ya editing ie photoshop
fungua photoshop load picha yako halafu bonyeza ctrl+j kuduplicate ziwe mbili halafu nenda filter then blur tafuta blur unayopenda na kiasi then futa blur kwenye potrait acha kwenye background

Ni Photoshop gani hiyo
 
Adobe photoshop cs3 mpk cs6...its very easy to blur the background... Mwenye huu uzi alete pic ya demo nimuoneshe.
 
ukitaka ufaidi tatfta application za photoshop,utaiweka picha yako unavyotaka wewe hadi ground unabadilisha inshort kitu chochote kile waweza kuifanyia picha yako
 
Mimi natumia galaxy s6 ,ni kawaida nikipiga picha na camera ya simu inaonyesha zaidi kile lengwa vingine vinafifia
 
hii ni focus, mkono wako upo sawa na nyanya ila nao haujatoka vizuri kama nyanya
Yes niliifocus haswa hiyo nyanya ,na camera haikuniangusha ikapiga vizuri nyanya wakati mimea ya nyuma automatically ikafifia ,ninazo hata za mazao mengine nikipiga moja lililo karibu mimea mingine inafifia ,hata mtu nikimpiga wa mbele zaidi ya wengine wa kando wanafifia
 
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia.na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri.je ni huwa wanatumia camera gani.mfano wasaniii
ni blur....hata kwenye 360 ipo
 
Back
Top Bottom