sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
kwa mimi sijawahi tumia cheka internet kwenye modem so am not sure ila nadhani zinafanya kazi maana ishu ni line yako tu..(ukiiweka kwenye simu unasurf kama kawaida na ukiweka kwenye modem pia una surf kama kawaida kwa kutumia bundle hiyohiyo) mi nilishawahi jaribu kuweka line yangu kwenye simu kutoka kwenye modem baada ya kuinguanisha na bomba 7 na nikawa naitumia kotekote mpaka ilipoisha bila kukata salio langu la kawaida...So nadhani kwa cheka internet ni hivyohivyo tu..!Wakuu hivi hizi bundle za cheka si ni kwa mobile phone pekee?
Au nawao hawa bani kama Airtel bundle ya simu unaweza tumia kwa modem pia
Pia naomba kujua, je kunautofauti wa speed kati ya Bomba7 na SPIDI7
Tofauti ya bomba 7 na spidi 7 ni kuwa bomba seven unapewa unlimited bandiwidth ila kwa kuanza unapewa bandiwth ya 700mb nadhani kwa spidi kubwa (zaidi ya 64kbps) utumie utakavyo (ukimaliza kwa siku moja au wiki haijalishi) ila ikishaisha bado unakuwa unaendelea kutumia internet kama kawaida (hata kudownload) ila tu sasa wanadai wanalimit spidi kwenye 64kbps (ingawa nahisi huwa inazidi apo) kwa mda wote uliobaki mpaka imalize(kama ni bomba 7 utatumia hivyo kwa siku saba na bomba 30 mpaka siku 30 ziishe) halafu ndo wanastopisha bundle yako.. SPIDI 7 ni kama bomba 7 ila tu zikisha isha zile MB za awali(ambazo hapa ni 1GBsasa) zenye spidi kubwa wanafunga so mpaka ujiunge tena na haijalishi utatumia mda gani(ukiweka leo ikiisha leo basi inabidi ujiunge tena)...
kwa maelezo zaidi : http://www.vodacom.co.tz/products--services/internet-services/vodacom-internet-bomba