Imeshapanbda kitambo, hivi sasa imesimama kwenye Sh169,000nakumbuka ilikuwa shs 149000.....sijui kama imepanda...
Wadau naomba mnijuze bei (ya kununua) Dstv
Hiyo bei ndo ya dikoda? Nahitaji bei ya kuinunua si ya packages
ki ufupi DSTV ni anasa.......[/FONT][/SIZE][/COLOR]
ki ufupi DSTV ni anasa.......
Duh aisee.. Anasa!! Yaani ni bora kulipia dstv nibaki nyumbani kuliko kwenda kuangalia mpira bar mwezi m1 namaliza karibu 300. Si anasa kabisa! Ni njia ya kupunguza expenses
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa kenya naona jamaa wanatoa fta local channels za kutosha,vipi kwa hapa kwetu kuna local channels ngapi?
Huko kenya kuna kitu kimeanzishwa kinaitwa go-tv ambayo subsidiary ya dstv na ndio maana wanapata local channels kwa wingi. Huku pia itaanzishwa. Kwa sasa ni TBCCM pekee inayopatikana