Msaada: Baadhi ya key kwenye laptop hazifanyi kazi

mpushi

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
280
76
Wakuu naomba mnisaidie nini cha kufanya baadhi ya key kwenye laptop yangu HP PAVILLION DV 6000 zinasumbua sana, zinaweza fanya kaz lakin kuna saa nikiizima nikiwasha hazifanyi kazi
 
Wakuu
naomba mnisaidie nini cha kufanya baadhi ya key kwenye laptop yangu HP
PAVILLION DV 6000 zinasumbua sana, zinaweza fanya kaz lakin kuna saa
nikiizima nikiwasha hazifanyi kazi
ni uchafu kwny njia za keyboard so fungua thn safisha hyo keyboard
 
Mkuu asante sana nimefanikiwa na zinafanya kazi
 
Mkuu umesafisha kwa kutumia nini. Ni HP Pavillion dv 4 ina tatizo hilo. Keys za 0, p na o zinasumbua sana.
 
Back
Top Bottom