Msaada: atapata muhimbili university?

Kama ana uzalendo na nchi,mshauri aitikie wito wa ualim kusomesha shule za kata zilizokosa walim bora!
 
watu wengine muwe mnafikiri kabla ya kupost sasa uwalimu imeingiaje humu!!! ana dv 1 ya point 9 na anataka kusoma pharmacy ana vigezo vyote cut off yao pale ni 7 yeye ana 9 yaani phy c chem c na bios c ilatatizo ni competition na capacity ya hiyo course ni watu 60
 
kwa mujibu wa kitabu cha TCU PHAMARCY MUHIBILI VIGEZO VVYAKE NI HIVYO
1 Bachelor of Pharmacy
Code
MH001

Admission
requirements: Form VI
Three principal passes at "D" grade or higher at A-level in the following subjects: Chemistry, Biology/ Zoology and Physics /Mathematics. Preference will be given to applicants with "C" Grade or above in Chemistry or Biology in that order. Candidate with "E" in Physics/Mathematics at A-level provided they have "C" grade or higher in Chemistry and or Biology.
Admission requirements: Diploma (Teacher Education or NTA Level 6)

Relevant Diploma with Second Class OR Credit OR B Average

Minimum Institutional Admission Points: FormVI
7.0

Admission Capacity

60

Programme Duration (Yrs)

4

Tuition Fee

TZS 1,600,000

Possible Loan Amount
1,600,000

Loan Priority
Priority
KWA KUWA YEYE ANA VIGEZO MAANA ANA POINT 9 KWA MAANA YA CC=3+3+3=9 NA MINIMUM NI POINT 7. SASA KUNA VITU VIWILI YEYE KUPATA ITATEGEMEA NA WAOMBAJI NA HIYO CAPACITY YA MUHIMBILI ILA KIVIGEZO UKIANGALIA TCU GUIDE BOOK ANAWEZA KUOMBA NA ANAWEZA KUPATA
 
watu wengine muwe mnafikiri kabla ya kupost sasa uwalimu imeingiaje humu!!! Ana dv 1 ya point 9 na anataka kusoma pharmacy ana vigezo vyote cut off yao pale ni 7 yeye ana 9 yaani phy c chem c na bios c ilatatizo ni competition na capacity ya hiyo course ni watu 60
msamehe bure ndugu yangu tuna tofautiana humu
kama ushasoma kitabu wewe msahauri aombe lakini hakikisha machaguo unayochagua katika zile kozi nane awe na vigezo na kozi ya kwanza ndio iwe preference yako huku ukiwa una vigezo vyote
kuna kozi zina ushindani kama hii ya phamarcy nakumbuka mimi kipindi na ingia chuo wale wale walioenda phamarcy cut-off ilikuwa ni div 1.8 kutokana na ufaulu na idadi ya walioomba mwaka huo
 
nashukuru mkuu...
 
mwambie aombe DDS,ni kozi nzuri kimaslahi hasa katika era hii ya ujasiliamali.hata mtoto wa JK alisoma hiyo hiyo!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.
 
msamehe bure ndugu yangu tuna tofautiana humu
kama ushasoma kitabu wewe msahauri aombe lakini hakikisha machaguo unayochagua katika zile kozi nane awe na vigezo na kozi ya kwanza ndio iwe preference yako huku ukiwa una vigezo vyote
kuna kozi zina ushindani kama hii ya phamarcy nakumbuka mimi kipindi na ingia chuo wale wale walioenda phamarcy cut-off ilikuwa ni div 1.8 kutokana na ufaulu na idadi ya walioomba mwaka huo

Jamani tunashukuru kwa kusaidiana huku kweny mtandao. Na mimi naombeni mnisaidia ndugu zangu. Nina mdogo wangu ambae alikuwa anachukua "ECA". Hajafaulu sana. Ana 'E' -Economics; "S'-Commerce na "D" -Accounts. Je anaweza pata kozi ya " BAF''kweli kwenye vyuo vyetu?.Naombeni ushauri achue kozi gani related na Masomo yake na ufaulu wake?
 
anaweza kwenye vyuo vidogo..
 
Kama anataka BAF vyuo vinavyotoa T z ni Mzumbe, Muccobs na St John..Kama anajiripia private, pale Mzumbe anaweza kupata
 
Anapata hiyo..siku hizi vijana wanafail sana PCB huyo amefaulu vizuri na mpe Hongera sana...
 
Back
Top Bottom