msaada ASSEMBLER

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Wakuu msinichoke na kuomba misaada.

Wakuu nimendika programu kwenye xlinx na nimejaza kwenye CPDL system sasa nataka microcontroller 8051 ndio iwe generator ya kuzi jaza port nilizo kwenye CDPL.

Hivyo nataka kuandika ka program kafupi ktk microcontroller 8051 ambako katakua kanezipeleka kwenye external port za 8051 na hapo ndipo naunganisha CPDL yangu.

Mfano kuandika assembler kwenye interna port inakua-

org 1000h
mov p1,#3
end

sasa kwenye external port inakua je? mwenye ujuzi naomba anaiandikie jinsi ya ku move hiyo 3 kwenye external port.

ASANTENI wote.
 
Bahati mbaya kila microprocessor ina kuwa na instruction set zake tofauti na nyingine. So assembly language ni specific kwa microprocessor aina moja pekee. Mimi nimefanya kazi na microprocessor tofauti na hiyo hivyo sitaweza kukusaidia. Ila naamin ukifuatilia manual yake vizuri utafnikiwa, maana mara nyingi kila kitu huwa documented.
 
Back
Top Bottom