Msaada!! Apps za simu nahisi kuchanganyikiwa..

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Wakuu nina simu Nokia N93.. baada ya kuiflash sasa haisuppot aplication yoyote.. nikidownload inacorrupt au inashndwa kuinstall.. MSAADA
 
Wakuu nina simu Nokia N93.. baada ya kuiflash sasa haisuppot aplication yoyote.. nikidownload inacorrupt au inashndwa kuinstall.. MSAADA

Inawezekana huyo jamaa hakuflash kama inavotakiwa nakushaiuri update mwenyewe software version vitu utakavyohitaji
1) cable ya simu kwa ajili ya kukonect simu na computer
2) computer ambayo ndani yake ina nokia ovi suite yenye phone updater
3) internet connection kwenye pc

Utaconect simu na pc then kwa kutumia hio software utasearch kama kuna updates ya firmware utaona unaipata then uta update.

I hope itasolve tatizo
 
Jaribu na hii nenda kwenye app mgr >> option >> setting >> software installation >> accept all af anza kuinstal tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom