Msaada: Apps gani ya kublock namba ya mtu?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
Habarini.
ni app gani ya kublock namba ya mtu SMS na calls zake zisinipate kwa android yangu.
msaada Tafadhali.
 
huitaji application , fungua settings na fuata kama ifatavyo
Settings - device - call - call rejection - auto reject numbers - auto reject list - create - weka number unayotaka ku block - save
 
huitaji application , fungua settings na fuata kama ifatavyo
Settings - device - call - call rejection - auto reject numbers - auto reject list - create - weka number unayotaka ku block - save
Asante mkuu, hii ni kwa simu mtanashati (smartphones) lakini
 
Ngoja niijaribu, app inablock call peke yake au na msg??
Kabisaa! Tena kama mtu anakupigia ambaye huna namba yake inakupa jina lake (kama line imesajiliwa) na inam-locate alipo (kama google map yako inafanya kazi). Yaani inakwambia aliyepiga ni nani na yuko wapi. Kum-block ni kama kawa.
 
Kama simu yako haina uwezo wa kublock bila ya kutumia third part app, tumia AVG anti virus itakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom