msaada: alloy wheels/sports rims ....

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
nahitaji kununua sports rims kwa ajili ya kigari changu ..... sasa nimeingia wasiwasi baada ya kusikia kuwa kuna rims fake za kichina na kuna originals (alloy wheels)
naomba maujanja ntakapokwenda kununua ntawezaje kutofautisha kati ya fake na original ili nisijeingia choo kwa kike.....
jamii forums 4 ever ....
 
ni kweli zipo za fake na original,ukipata za mtumba nyingi zinakuwa ni original,ila pia inategemea na safari zako ni za wapi,kama hutumii rough road sana,mchina hana shida.ila kama unapita mashimoni ni bora uwe na original..ila nasisitiza used,unaweza ukapata used zilizo kwenye condition nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom