Msaada; Akinipigia simu yangu isipatikane ila niwe nimeiwasha

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Nimewahi kusikia kuwa kuna namba unaweza kuingiza kwenye simu kwakulenga namba fulani ikikupigia usipatikane na unaweza ukaitoa na baadae akikupigia ukapatikana.
kama kuna mwana jf anaijua naomba anisaide
 
Kwa simu za samsung unaweza kublock specific # na asikupate mpk utakapom-release on your own.
 
Nimewahi kusikia kuwa kuna namba unaweza kuingiza kwenye simu kwakulenga namba fulani ikikupigia usipatikane na unaweza ukaitoa na baadae akikupigia ukapatikana.
kama kuna mwana jf anaijua naomba anisaide

Inaelekea umelikoroga mahali mkubwa!
 
Kama unatumia Samsung ni rahis unawe ku block # itakua haikupati pia hata sms nazo unaweza. ila wengine wakikupigia wanakupata vizuri kabisa
 
Kama sm yako ni nokia nnachojua waweza kublock wote wanaokupgia ila sio kumblock mtu mmoja.
 
Naskia providers wanayo hio huduma, inategemea uko kwa provider gani? mmh ulifanyeje? wapi? sasa unataka uuuuu::hhh
 
Kwa mtandao wako,na nokia kublok m2 mmoja ngumu labda uweke flight mode!
 
Mkuu tuelekeze vizuri...unafanyaje iyo namba?ama una'dial then ukitaka kuitoa hiyo huduma.
Wewe dial utapata maelezo yote;
kama uko na mitandao mengine, so download "Advenced call manager" at www.ovi.com then huyo mamii utamueka katika blacklist ili asisumbue.
 
Back
Top Bottom