Msaada akiba commercial bank

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Naomba kujua kwa anaefahamu akiba commercial bank customer care au bank teller analipwa kiasi gani kama net salary
 
Kama unataka kujua nenda, fanya interview ukichaguliwa utajua tu, haya maneno yakusikia bado hautapata ukweli.
 
Na km ww sio mchaga,kupata kazi pale ni mpk uwe na zaidi ya msure...ina staffz almost 500,lkn wachaga ni zaid ya 60 percent ktk kila branch,sasa cjui tunaelekea wap
 
Na km ww sio mchaga,kupata kazi pale ni mpk uwe na zaidi ya msure...ina staffz almost 500,lkn wachaga ni zaid ya 60 percent ktk kila branch,sasa cjui tunaelekea wap

wakuu hivi Akiba wanaruhusu upeleke application physically or lazima kwa njia ya posts?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom