MSAADA AJIRA YA MUDA,tempo

Nipo tayari ...ila unataka nifundishe masomo gan?mi ni mcchana
 
:spy:Njoo nikuoe nimemaliza {UDOM}mwaka huu nimejiajiri naweza kukuhudumia.check me on.

Kwann umetoa excuse kuwa wewe ni msichana..kwan kuna masomo yanafundshwa na wanaume tuu! Jiamini Dada angu
 
Kwann umetoa excuse kuwa wewe ni msichana..kwan kuna masomo yanafundshwa na wanaume tuu! Jiamini Dada angu

No sio hvy jaman,nlikua namjib huyomchangiaj wa kwanza kabisa ilijua mi mwaume,akasema mwanaume unatakiwa ujiamin
 
kuwa makini, umejitambulisha kuwa ni msichana angalia watu wasitumie uhitaji wako wa ajira kujinufaisha.
kuna kazi ya makarani wa sensa, umejaribu??
all the best.
 
kuwa makini, umejitambulisha kuwa ni msichana angalia watu wasitumie uhitaji wako wa ajira kujinufaisha.
kuna kazi ya makarani wa sensa, umejaribu??
all the best.

Ucjar ndugu yang,nipo makin....hyo ya ukaran nimetuma appllication
 
Dada angu kuwa makin bhana matapeli weng,,wanaokuita hao nenda na kampan uckubali kwenda alone,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom