Msaada airtel

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau wa humu JF ninaomba msaada wa kuweka kifurushi cha mwezi kwenye moderm ya airtel maana zamani ulikuwa unatuma neno intaneti na unajibiwaujibu ndio na ukikubali unaunganishwa kwa shilingi elfu mbili na mia tano. Asanteni
 
tumia utaratibu uleule wa mwanzo bila kutuma neno ndiyo mambo yanakuwa shwari tu.
Tuma neno "internet" kwenda 15444. Enjoy
 
Back
Top Bottom