Msaada: Airtel University offer

Sanple ya Vocha hizo hapo unapata 2GB 100 mins airtel to airtel 10 mins mitandao yote in 3 days. Ukijiunga ndani ya saa mbili baada ya kifurushi kuisha dakika kifurushi kipys kinajiongeza kwenye kilichoisha kama ulibakisha 60 mins halafu muda ukaisha utakuwa na 160 mins
 
Attachments

  • 1425378791944.jpg
    1425378791944.jpg
    50.3 KB · Views: 1,378
  • 1425378815588.jpg
    1425378815588.jpg
    54.9 KB · Views: 1,289
daah sie tusiokaa karibu na vyuo tunakomaa tu na mb 8....not fair though.
 
Huduma nyingone zimekaa kibaguzi tu!
Kwa mfano unaishi shinyanga mkoa ambao hauna chuo kikuu hata kimoja unafanyaje sasa? Ina maana yakubidi ukwee mombasa raha hadi mwanza kujiinga ndo upate huduma hii?? Du ama kweli baadhi ya huduma ni za kibaguzi balaaaaaa
 
haha hiyo nauli ya kupanda mombasa raha si ujiunge na unlimited Internet
 
Huduma nyingone zimekaa kibaguzi tu!
Kwa mfano unaishi shinyanga mkoa ambao hauna chuo kikuu hata kimoja unafanyaje sasa? Ina maana yakubidi ukwee mombasa raha hadi mwanza kujiinga ndo upate huduma hii?? Du ama kweli baadhi ya huduma ni za kibaguzi balaaaaaa

ni special kwa wanafunzi wa vyuoni tu,,tatizo watanzania tunapenda kudandia tuu!
 
Back
Top Bottom