Msaada: Adobe Photoshop

PingPong

JF-Expert Member
Dec 21, 2008
926
160
Habari zenu wakuu, naomba kama kuna mdau ana hiyo software plz aniwekee hapa na kama yupo anayejua jinsi ya kuipata naomba anisaidie maana nimegoogle sana ila kwenye downloading ndio kuna fujo zilizonishinda, pia nimechungulia kwenye JF store napo nimechemsha, shukran!
 
Back
Top Bottom