msaada!!!!! Abudhabi Decorders!!!

richy17

Member
Apr 1, 2012
57
4
salamu kwenu wakuu!!! Naomba msaada kwa mtu anayejua Decorders za Abudhabi channels e.g Abudhabi sports and Mbc zinapatikana wapi kwa hapa Dar-es-salaam na zinauzwa shs ngapi???
 
Umejuaje?? Naihitaji kinoma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukitokea fire nyoosha na mtaa wa livingstone maduka ya kulia utaona madishi nje
 
Package ya Abu dhabi ni Tsh150,000 kwa mwaka,Decoder yake ni Tsh700,000,full installation ni almost M1 hiviii.
 
abudhabi sport kwa mwaka ni dola 119 za kimarekani sawa na kama sh 180,000 kwa mwaka na kama sh 15,000 kwa mwez

Watakupa card yao ambayo ndo unaingiza kwenye decoder. Gharama za abudhabi sport zinakuja kwenye kuipata mara ya kwanza kwa sababu hii ni kwa ajili ya nchi za kiarabu tu. Itataka dishi na decoder na installation ya mara ya kwanza.

Kutokana na maelezo ya kwenye website yao card yao inakubali decoder za aina hii hapa
-Humax ICORD H
–Humax IR2000
– Humax IR 1100
so kama una dikoda ya style hio utapunguza cost kwa kununua kifurush tu bila decoder na dish zao

Kwa maelezo zaidi vizuri mtembelee website yao hii hapa

abudhabi network

Hope mumepata mwanga kidogo
 
Vipi ukitaka MBC's ambazo zipo ktk BADR4 26 E/KU BAND,utatakiwa kuwa na dish size gani? Na je kwakuwa ni FTA then unaweza kutumia receiver hz za kawaida eg Srt,mediacom?
 
dish ni cm 135 na kuendelea. Unatakiwa huwe na risiva ya mpeg 4 hd .mbc ni chanel za kulipia mkuu
 
abudhabi sport kwa mwaka ni dola 119 za kimarekani sawa na kama sh 180,000 kwa mwaka na kama sh 15,000 kwa mwez

Watakupa card yao ambayo ndo unaingiza kwenye decoder. Gharama za abudhabi sport zinakuja kwenye kuipata mara ya kwanza kwa sababu hii ni kwa ajili ya nchi za kiarabu tu. Itataka dishi na decoder na installation ya mara ya kwanza.

Kutokana na maelezo ya kwenye website yao card yao inakubali decoder za aina hii hapa
-Humax ICORD H
–Humax IR2000
– Humax IR 1100
so kama una dikoda ya style hio utapunguza cost kwa kununua kifurush tu bila decoder na dish zao

Kwa maelezo zaidi vizuri mtembelee website yao hii hapa

abudhabi network

Hope mumepata mwanga kidogo

asante mkuu
 
chanel zote za kiarabu za kulipia zinapatikana kwenye dikoda ya abudhabi sport. Dikoda ya abudhabi inakuja na sehemu mbili ya kuekea kadi moja unaeka kadi yao ya abudhabi na nyengine unaeka unayotaka wewe mfano aljazeera. ila kadi zote utalipia tofauti
 
mambo poa,,kuhusu abudhabi decoder usitie shaka,,nitakufanyia kwa 750000 full instalation,,,call me 0715/0756/0787-966540,,,
 
niafute nitakufanyia kwa 750000 full instalation ,,nimekujibu na no nimeweka shuka chini,,,,,
 
mambo poa,,kuhusu abudhabi decoder usitie shaka,,nitakufanyia kwa 750000 full instalation,,,call me 0715/0756/0787-966540,,,

Hiyo ni pamoja na decoder na dish na subscription ya one year
 
abudhabi sport kwa mwaka ni dola 119 za kimarekani sawa na kama sh 180,000 kwa mwaka na kama sh 15,000 kwa mwez

watakupa card yao ambayo ndo unaingiza kwenye decoder. Gharama za abudhabi sport zinakuja kwenye kuipata mara ya kwanza kwa sababu hii ni kwa ajili ya nchi za kiarabu tu. Itataka dishi na decoder na installation ya mara ya kwanza.

Kutokana na maelezo ya kwenye website yao card yao inakubali decoder za aina hii hapa
-humax icord h
–humax ir2000
– humax ir 1100
so kama una dikoda ya style hio utapunguza cost kwa kununua kifurush tu bila decoder na dish zao

kwa maelezo zaidi vizuri mtembelee website yao hii hapa

abudhabi network

hope mumepata mwanga kidogo

huna mtaalam utupe namba zake za simu?
 
dish ni cm 135 na kuendelea. Unatakiwa huwe na risiva ya mpeg 4 hd .mbc ni chanel za kulipia mkuu

Kuna fundi anasema unaweza kupata Mbc1 na 3 ya watoto kwa dish dogo la 90cm. Je kwa uzoefu wako ikoje hii? Na je ktk dish hl naweza pata chnls zipi ktk badr4,5,6? Au nifunge direction gani/satlte gani kupata chnls nzr?
 
Jaribu na huyo fundi .mimi nilijalibu ilinigomea uhakika ni cm 135 na kuendelea risiva ni mpeg 4
 
Back
Top Bottom