MSAADA .7z file

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wadau naomba mnisaidie kucrack password ya .7z archive file(yani compressed file lenye extension ya .7z).Nimedownload file la aina hii kutoka 4shared.com ambalo lina novel ya My Laugh Comes Last ya James Hardley Chase.Nimejaribu kumtumia email mtu aliyrliupload ili anipe password lakini hakunijibu.HIvyo naomba mnisaidie njia ya kulifungua faili hilo
 
dah utakesha kaka tafuta file jengine tu mi pia nlipata file la style hio nkadownload cracker nyingi tu but zinatumia brutus force then zipo slow unaeza try hata 24 hrs usipate jibu
 
dah utakesha kaka tafuta file jengine tu mi pia nlipata file la style hio nkadownload cracker nyingi tu but zinatumia brutus force then zipo slow unaeza try hata 24 hrs usipate jibu
thanks mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom