Msaaada wadau

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wadau naombeni mwenye kufahamu kwa ufasaha hiki kipengele kilichopo ktk hii form ya hawa watu wa TCU ambayo unatakiwa ujaze tayari kwa kufungua account yako ambayo utaitumia kwa kutuma particulars zako kwa ajili ya maombi ya chuo, kipengele hiki kinasomeka'' VOUCHER NUMBER'' sasa hapa unatakiwa kujaza nn au kama ndo hii voucher number je kwa mtu kama mm nisiye fahamu ninafanyaje?
 
Voucher number znauzwa CRDB bank,bei yake ni 30000tsh kama itakua haijapanda.over
 
Back
Top Bottom