msaaada wa jinsi ya kutengeneza windows vista bootable DVD using nero?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
waungwana maelezo ya hapo juu yanajitosheleza, nina nero 8 na 10. na boot image ninayo pamoja na installation files zote ninazo. msaada tafadhali.
 
kwa kawaida kwenye nero huwa kuna section ya ku burn a bootable cd/dvd ambapo ukiselect hiyo huwa inakutaka kucahuga mahali uliposevu hiyo boot file yako then una weka na files zake kisha unaburn na kupata bootable cd...actually hiyo mi nilitumia mda mrefu kidogo uliopita nikiwa na nero flani hivi ya kizamai cjui version gani...kwa sasa natumia gburner...iko very simple na unaweza kutengeneza bootable cd/dvd yoyote utakayo mradi tu uwe na bootable info file ambazo znapatikana kwa wingi tu( ndo hiyo boot image uliyonayo sasa) so kama hutajali..search hiyokitu google..inaitwa gburner..download(kama 3MB) au kama ni mtaalamu wa mambo ya torrents...ingia the piratebay utaipata free tu!!
 
waungwana maelezo ya hapo juu yanajitosheleza, nina nero 8 na 10. na boot image ninayo pamoja na installation files zote ninazo. msaada tafadhali.
Simple
Just burn the VIStA iso image file to DVD.
 
Copy hiyo cd yenye vista os kama image (iso,nrg au .gi) na save kwa hard drive then weka empty cd kisha burn image yako to cd. Njia rahisi ya kuepukana na editing za autorun kwa notepad
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom