Mrithi wa Marehemu Sheikh YAHYA na utabiri mwaka 2012

TATIZO NI SHULE AU UCHAWI? Eti "Mwaka huu wa 2012 umeanzia siku ya Jumapili, siku hii inatawaliwa na Sayari ya Jua ambayo nyota yake ni moja tu nayo ni nyota ya Simba".
Hapa hunipati. Kijiografia,.. tena elimu ya form 1 - JUA ni nyota siyo SAYARI. We mtabiri mbona unatukoroga?????? Tukueleweje???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
kwa nini anatbiri mambo ya kutisha tisha tuu? Mboa katika michezo na usanii , hajatabiria kitu? Yanga inacheza na zamarek, mechi ambayo kila mwana yanga anataka ushindi. Basi mwalimu, victor Yohana Simba kwa kiarabu maanake ni (hussein Yahaya hassan) tutabirie ushindi wa Yanga?

Akitabiri YANGA itafungwa ahame magomeni!.
 
ama kweli ila sijasikia kama ataendeleza kuwalinda viongozi kwa nguvu za giza kama baba yake
 
Back
Top Bottom