Elections 2010 Mrisho Mpoto

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli?

Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu.
Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura
matangazo ya kupambana na ukimwi. n.k n.k.....

La kushangaza sijaona CCM wakimtumia kwenye campaign zao kama walivyo wasanii wengine maarufu ambao tunaona wanazunguka na mkulu Kila Aendapo kwenye campaign.
Wengi tunafahamu nguvu ya huyu jamaa katika uhamasihaji.

Nimesikia Tetesi kuwa katika nyimbo zake huwa anaiponda CCM kimafumbo ndio maana hawamtumii katika Campaign zao. Hapa kuna ukweli?
 
mhh hmbona nilimuona kwenye mnuso wa bethidei ya JK ikulu...hahaaaa
 
Hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli?

Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu.
Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura
matangazo ya kupambana na ukimwi. n.k n.k.....

La kushangaza sijaona CCM wakimtumia kwenye campaign zao kama walivyo wasanii wengine maarufu ambao tunaona wanazunguka na mkulu Kila Aendapo kwenye campaign.
Wengi tunafahamu nguvu ya huyu jamaa katika uhamasihaji.

Nimesikia Tetesi kuwa katika nyimbo zake huwa anaiponda CCM kimafumbo ndio maana hawamtumii katika Campaign zao. Hapa kuna ukweli?
hATA MIMI NIMELIONA HILO NA LINGINE LA AJABU NI KUWA CCM WANAPOTOA SERA ZAO HUWA HAWAONGELEI KABISA HUTUBA ZA HAYATI J.K NYERERE, mpaka huwa nafikiria kunanini ccm??
 
Ulichosema ndiyo ukweli..............we unafikiri mtu km mr2 a.k.a sugu anaweza kuitwana ccm?
 
Umesahau alivyo mchana kikwete uwanja wa taifa?
Tunataka wasanii wa aina hii.
Sio wale wanaonunuliwa kwa sh. Milioni 30
hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli?

Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu.
Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura
matangazo ya kupambana na ukimwi. N.k n.k.....

La kushangaza sijaona ccm wakimtumia kwenye campaign zao kama walivyo wasanii wengine maarufu ambao tunaona wanazunguka na mkulu kila aendapo kwenye campaign.
Wengi tunafahamu nguvu ya huyu jamaa katika uhamasihaji.

Nimesikia tetesi kuwa katika nyimbo zake huwa anaiponda ccm kimafumbo ndio maana hawamtumii katika campaign zao. Hapa kuna ukweli?
 
Siyo kwamba "anatumika" katika matangazo mbalimbali bali hiyo ndiyo "ajira" yake.

Suala la "upambanaji" ni dhana isiyoeleweka vyema : Wengi tuliokuwa tunawahitaji "wapambanaji" sasa hivi wamekuwa kama maboya ya kuogelea!
 
Mpoto katulia mwache aendelee kuelimisha jamii kwani mashairi ya kwenye mjomba ni mashairi mazito sana ambayo kwa waelewa watamuona huyu jamaa kama nabii kwani alitabiri mjomba atakuja kutuuliza tunavaa viatu saizi gani wakati akiondoka alisema atatuletea viatu, (rej: ahadi ya maisha bora kwa waTz wote Baadae mjomba kasema maisha bora kwa kila mtanzania hayaji bila kufanya kazi. wakati ajira zenyewe F)

Mpoto ni bora ubakie hivyo hivyo nje ya siasa kuliko kuwa mtafuta ufisadi kama akina Nakaya.
 
Hata kama alikuwa kwenye birthday part, mpoto anajua kuwa zimwi likujualo... Halikuli likakwisha!!
 
hATA MIMI NIMELIONA HILO NA LINGINE LA AJABU NI KUWA CCM WANAPOTOA SERA ZAO HUWA HAWAONGELEI KABISA HUTUBA ZA HAYATI J.K NYERERE, mpaka huwa nafikiria kunanini ccm??

Jana JK amecholopoa baadhi ya mambo ya kiutendaji wakati wa mwalimu ati walijaribu kutoa elimu bure na ikashindika, Ivi JK anatuona sie mbumbumbu nini hivi ajui ni end of 1970's walimaliza vita ya kagera na nduli Iddi amini Dada na uchumi wa nchi ukawa umedolola unataka kuniambia wangeweza kurudisha hali hiyo ya shule bure? walitakiwa kukaa chini na kujipanga upya wapi waaanzie kurudisha uchumi na wangefanikiwa ila walikuwa ni waroho na Azimio la Arusha wakaliuwa na kupotea miiko ya uongozi sasa JK na wenzio mlikiuka miiko ya uongozi wa nchi hii na hamkiipa nchi kipaumbele obvious msingeliweza kabisa kuleta elimu bure kwani hamkuwa na malengo na uzalendo kumbukeni wakati huo nyie ndio mlikuwa Vijana viongozi wa wakati huo mlipaswa kuliona hilo mapema sana na kujua nchi inakwenda wapi na tuipeleke vipi.

JAMANI..MRISHO akiwa nje ya uanasanaa, MAGWANDA yanmwita! Alishaliambia Taifa letu hili, kuwa hapo Oktoba 31, Tusimkabidhi MBU (CCM) kazi ya kutimu Malaria (Kuikomboa nchi) ili hali hii nchi ndio wameifanya mgongo wao wa kunyonyea damu zetu zote!

Mwaka huu ndio jibu la Mbu hawa...Maleria haikubaliki! CCM haikubaliki, JK hakubaliki. Bye bye!

Dr Slaa, Daima, Rais wa Tanzania Mpya, yenye Amani na mafanikio.
 
Nimeanza kupata kamwanga kidogo.
I wish Watanzania wote 18+ tunggenda kupiga kura that day. poleni sana wanavyuo!
 
Back
Top Bottom