anajitahidi ila kuna katoto fulani hivi kako mwananyamala huwa anakazukia sijui alishakaacha au bado yupo nako..
nilitaka kuthibitsha ila tatzo lilikuwa sina mbuzi ila........kumbe mbuzi wako humuhumu so ntaandka thread then nta comment kwa kuponda najua ntawapata mbuzi wengi!kaka hao ni kama watoto wa mbuzi, ukiweka kamba watairuka na wanaokuja wote watafanya hivyo kibaya ni kwamba ata ukiitoa wanaokuja wataendelea kuruka.