Mrisho Mpoto aiwakilisha Kenya kwenye Tamasha la Kiswahili

Unajua wakati mwingine njaa isitufanye tukawa vichaa, sasa unaenda kujitambulisha wewe ni mkenya wakati ni mtanzania? Huu ni upumbavu.

Nani mpumbavu kati ya mpoto alieukana utanzania kwa siku moja na viongozi wa ccm wanauza madini,mbuga,aridhi na misitu kwa bei chee huku wananchi wakizidi kuwa maskini.?
 
Jumba bovu tu limemuangukia MRISHO,mbona mambo mengi tu na miaka nenda miaka rudi yanafanyika,mbona hatupigi kelele au uzalendo wetu ni kwenye Kiswahili na maamuzi ya ya mtu binafsi? Madini, Matunda,Maua,Chai,Iliki na vitu vingi tu vina kwenda Kenya vinabadilishwa utaifa halafu vitapelekwa Ulaya,Asia na america.
All in all wa-Tanganyika hatuna uzalendo tuache unafiki,tazama timu za kigeni zinapokuja kucheza na timu za nyumbani,huu ni mfano mdogo yapo mengi yanayo fanana na hayo....au ndio yale yale ya vimambo vidogo vidogo vinatutoa roho?
 
Mpoto na utetezi wa kitoto, Eti alijua anaiwakilisha Tanzania mpaka alipoingia stejini na kupigiwa wimbo wa Taifa wa Kenya ndio akastuka.
 
Abaki huko huko Kenya asirudi huku! maana katiba inasema uraia wa mtu unakoma pale anapoukana uraia wa Tanzania. Hapa huyo Mpoto amejivua uTanzania. Njaa mbaya sana.
 
πTanzania, Tanzania nchi yenye Mali nyingi, watu wengi wa ulaya wanaililia sana, nimeona mdege wengi wakiruka dirishani wakipendeza mlio kama ...'°π
>>BONGOLAND<<
 
Uko wapi uzalendo wa mtz huyo? Thamani ya mang'amuzi yake huru iko wapi? Inasikitisha sana na inahuzunisha!

Siilaumu Ikulu lakini moja kwa moja lawama nazitua kwa Mpoto nilieamini ni mmoja ya wazalendo wa kweli duniani na ambae damu yake yaweza kuwa chocheo la waliogizani! Hakika ametutweza kimsonge na majuto ni sasa,
HIMA turejee kizalendo itupasavyo!

Ili uwe mzalendo wa kweli ni lazima uifie nchi yako sio kuukana utaifa wako kwa mizania ya Ikulu

Mkuu ulivyo floor inabidi uende Kenya.
 
That is stupidity at its best. How can one do that? I hope he also signed a contract that when he comes back, he will be given kenyan cirtizenship, because, how can he come back to Tanzania a country he has denounced? Unlesse you are just exaggerating things.
 
Kama Watanzania wenyewe tulishindwa kumpa support na Si zaidi ya mara moja alivyotuwakilisha ufaransa
katika lugha ya kiswahili. Halafu we unadhani WHAT'S NEXT.
Big Up Mpoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom