Mrisho Gambo: DC wa Korogwe na kampeni ya kufundisha

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Jana, siku ya kwanza ya mgomo wa walimu, bwana mrisho Gambo alifundisha Hisabati darasa la saba katika Shule ya Msingi Mazoezi-Manundu. Leo, siku ya pili ya mgomo wa walimu Mh. huyo ameendelea kushusha namba katika shule pacha za Mazoezi Manundu na Mazoezi Mbeza. Amepiga somo la namba lakini kwa bahati mbaya sana aliitwa ofisini akiwa amefundisha maumbo mawili tu katika shule ya Mazoezi-mbeza. Nimejaribu kumuomba Chalii anipe daftari lake nikague lakini amesema kuwa mwalimu- mkuu anafundisha tu lakini wao hawaandiki.

My take: jamaa anajitahidi ila ningemshauri sana aende kufundisha katika shule zilizoko chaka kwani hapa mjini wanafunzi hawana tatizo, wanazo tuition. lakini huko vijijini hakuna tuition hivyo wanafunzi wanaathirika zaidi.
 
wakuu wa wilaya wanakazi nyingi sana mfano huku kwetu bila wakuu wawilaya mbona tungekufa maana kuanzia mkurugenzi na watendaji wao ni watu wa kuonea wananchi na wafujaji wakubwa wa fedha za umma,tumekuwa tukikimbilia kwa mkuu wa wilaya na anasaidia sana
 
Kwaiyo kufundisha hisabati ndo suluhu ya tatizo hili??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
huyu dogo nae kwa kukurupuka, sasa huo mtaala na andalio la somo kapata wapi wakati wenye somo wamegoma?
 
Kweli nimeamini wakuu wa wilaya hi hovyo sana .Sitaki kuamini ***** wa huyu dogo
 
Anafanya kazi isiyomhusu, sijui hui mtaala kaupata wapi au anafindisha anachokijua yeye
 
Jana, siku ya kwanza ya mgomo wa walimu, bwana mrisho Gambo alifundisha Hisabati darasa la saba katika Shule ya Msingi Mazoezi-Manundu. Leo, siku ya pili ya mgomo wa walimu Mh. huyo ameendelea kushusha namba katika shule pacha za Mazoezi Manundu na Mazoezi Mbeza. Amepiga somo la namba lakini kwa bahati mbaya sana aliitwa ofisini akiwa amefundisha maumbo mawili tu katika shule ya Mazoezi-mbeza. Nimejaribu kumuomba Chalii anipe daftari lake nikague lakini amesema kuwa mwalimu- mkuu anafundisha tu lakini wao hawaandiki.

My take: jamaa anajitahidi ila ningemshauri sana aende kufundisha katika shule zilizoko chaka kwani hapa mjini wanafunzi hawana tatizo, wanazo tuition. lakini huko vijijini hakuna tuition hivyo wanafunzi wanaathirika zaidi.

Naona mmekosa covarage kwenye tv mnaibukia kwenye jf.ujumbe gani ulitaka kutupuka kwa unaweza fundisha?coz Arusha watoto wanafundishana wenyewe
 
Aamie na sekondari naamini kabisa hata sentensi moja yakingereza itamtoa nishai asilimia kubwa ya ma DC ni vilaza na ndomana wanataka kuutumia huu mgomo wa walimu kujipatia ujiko.
 
Jana, siku ya kwanza ya mgomo wa walimu, bwana mrisho Gambo alifundisha Hisabati darasa la saba katika Shule ya Msingi Mazoezi-Manundu. Leo, siku ya pili ya mgomo wa walimu Mh. huyo ameendelea kushusha namba katika shule pacha za Mazoezi Manundu na Mazoezi Mbeza. Amepiga somo la namba lakini kwa bahati mbaya sana aliitwa ofisini akiwa amefundisha maumbo mawili tu katika shule ya Mazoezi-mbeza. Nimejaribu kumuomba Chalii anipe daftari lake nikague lakini amesema kuwa mwalimu- mkuu anafundisha tu lakini wao hawaandiki.

My take: jamaa anajitahidi ila ningemshauri sana aende kufundisha katika shule zilizoko chaka kwani hapa mjini wanafunzi hawana tatizo, wanazo tuition. lakini huko vijijini hakuna tuition hivyo wanafunzi wanaathirika zaidi.

Thats a stupid move I have ever seen! Anamdanganya nani? Kwani ana syllabus ya hesabu? Kwani anajua wamefundishwa nini na wamefika wapi? Hii ni danganya toto ya kipumbavu kabisa. Hawa jamaa hawaelewi kabisa kuwa Wa-Tanzania wa leo sio wa jana. Mtaji wao ulikuwa ujinga wa wananchi, na sasa wameamka. Hata hao watoto watamdharau tu.
 
Tatizo la watawala wa kipindi hiki lowest mind they not think how to solve tatizo na ndio maaana wakimbilia kufundisha bila wakati ana syllabus ya somo husika pole kwao jarabu kutatua tatizo la mgomo watoto hasa wa familia maskini ndio wanaokosa elimu bora katika manufaa yao ya baadae
 
Naona mmekosa covarage kwenye tv mnaibukia kwenye jf.ujumbe gani ulitaka kutupuka kwa unaweza fundisha?coz Arusha watoto wanafundishana wenyewe

Hujaeleweka hapa chalii yangu! au na wewe kiswahili ndo hivyo tena? mbofu mbofu?
 
Udc alipewa kwa fadhila za kupga debe na kujkomba ndio tatzo ya madaraka ya kupewa kwa kulamba viatu vya watoto wa viongozi ajui kazi yake...akalime
 
Back
Top Bottom