Ama kweli hii kitu imeandikwa na mvuta bangi, ametetea kwa nguvu zote, still consuming the information in the doc. I will be back.
kama mpaka vitabu vya dini kama biblia,hindu,budha na rastafarian vinaitambua jani kama the sacred plant ina maana tunawanyima waumin chakula chao cha kiroho.lets legalize it.na isitoshe ushahid wote wa kisayansi unaonyesha hauna madhara kuliko sigara, pombe,na madawa mengine ya kulevya maana wadau wote walioleta hoja za kuipinga wameshindwa kuwasilisha ushahid na source kwamba ina madhara hata baada ya kuwapa mda wa kusearch imeshindikana kuthibitisha kwani hata mm nimejarib kutafta ushahid wa kisayansi kuona kama ina madhara makubwa kama nilivyoaminishwa nimeshindwa.so lets legalize it.tuache kuwaua ndugu zetu kwa sigara
Yes brother, you are right.I love ganja though i dont smoke, hii kitu inakupa self awareness, inakupa kujiamini na kikubwa kabisa hakuna mvuta bangi mnafiki, they always tell the truth and hawajali madhara ya huo ukweli baada ya kusemwa.
Mkuu Apollo nina wazo naomba lianzishwe Group hapa jf kuhusu hili swala na watu tushauriane na kukumbushana utumiaji salama wa MARIJUANA,JF kama jukwaa kubwa naamini tukiweka facts zaidi kama ulivyoweka hapo tunaweza kutoa ushawishi mkubwa pia tukishirikisha na Madaktari wanaopatikana humu JF...
Au hii thread iwe sticky hapa jukwaani MODS watufikilie kwenye hili