Mridishien bibi wawatu ndege yeke wajemeni lol!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Haya ya dunia nia makubwa eti bibi ataka apewe ndege yake adai hana ntoto hata mmoja songea kisa kaanguka
usiku akiwa safarini ha ha ha ha ha ha ha !!!
 
Ukweli nimecheka sana ile taarifa ya habari ya bibi. Alkuwa anamwaga versi si mchezo. Angepelekwa studio atoe walau single yake ya kurudishiwa ndege. Kweli ulimwengu una mabo
 
Hata hivyo Songea sikutegemea kuwa na mambo kama hayo. Nilifikiri ni Tanga, Bagamoyo, S'wanga na Tanga / Pemba. Kweli hawavumi lakini wamo
 
Huyo bibi mwanasiasa, alikuwa mjumbe wa serikali ya kijiji kwa tiketi ya CCM na CHADEMA kwa mpigo. Aligombeaje akashinda kotekote muulizeni mwenyewe.
 
Hao ndio hasa taswira angavu ya wana ccm ambao kila mara jk anapobanwa kisawasawa hukimbilia kwao yap ndio wazee wa ccm hao!! Hivi hujiulizi ni kwa nini ccm wanakubalika zaidi maeneo mengi yenye viumbe wa aina hiyo? Sababu ni moja. Ccm ni mtaji kwao. Na wao ni mtaji kwa ccm. Ooh sjui wazee wa dar mara. Wazee wa wapi sijui shtuka. Giza ni kwa ajili ya usiku. Hapo mwanga hauna nafasi katu.
 
Khaaa ! Ivo eeh
 
Back
Top Bottom