mrembo Mayasa anautesa moyo wangu. naomba mnisaidie..

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Heshima yenu wakuu.
Mimi nimetokea kumpenda mwana jf mwenzetu anayeitwa Mayasa. Nimejaribu kumu PM lakini hanijibu..wala hata salaam hajibu.nimemtumia namba ya simu anibeep imeshindikana. kusema kweli nilimpenda kabla hata sijajiunga jf kwa thread zake na comment.baada ya kujiunga nashangaa hata jf hatokelezei.
Mwenye contact zake au uongozi wa jf naomba wanikutanishe na huyu mrembo.nampenda sana..sana.natamani awe mama watoto wangu. nakupenda mayasa..Mmwaaa...!!. over
 
Ukome kumtongoza mke wangu. Amenionyesha PM zote ulizomtumia na nasema ushindwe na ushindwe.
 
kweli mkuu??
unantania bana. sasa kwanini hanijibu pm zangu?naomba umuulize kwanini hanijibu Pm zangu? inaonekana hakupendi. mbona hajaniambia kama ana mtu?. over
 
Mayasa
Njoo huku ujibu hoja na maswali ya mwenzio.............kwanini unakatili penzi hili dhahiri la dubu?

Dubu
Pole sana..........ila usisahau ya wahenga "mvumilivu hula......................". All the best bro!

EMT
Unless you have put a ring on it.................................she still fair game:eyebrows:??
 
kweli mkuu??
unantania bana. sasa kwanini hanijibu pm zangu?naomba umuulize kwanini hanijibu Pm zangu? inaonekana hakupendi. mbona hajaniambia kama ana mtu?. over

Kwani moja ya Rules za JF ni kuwa ukitumiwa PM ni lazima uijibu? Kutokukuambia kuwa hana mtu ndio inaonekana hanipendi? BTW, angekuambiaje hana mtu wakati umesema hajibu PM zako?
 
Heshima yenu wakuu.
Mimi nimetokea kumpenda mwana jf mwenzetu anayeitwa Mayasa. Nimejaribu kumu PM lakini hanijibu..wala hata salaam hajibu.nimemtumia namba ya simu anibeep imeshindikana. kusema kweli nilimpenda kabla hata sijajiunga jf kwa thread zake na comment.baada ya kujiunga nashangaa hata jf hatokelezei.
Mwenye contact zake au uongozi wa jf naomba wanikutanishe na huyu mrembo.nampenda sana..sana.natamani awe mama watoto wangu. nakupenda mayasa..Mmwaaa...!!. over

unatafuta kushikishwa ukuta we endelea tu ..nakuangalia tu unavocheza na waifu wangu...
 
Mayasa

EMT
Unless you have put a ring on it.................................she still fair game:eyebrows:??

Which means you can be fair game to me unless I have put a ring on it?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kweli mkuu??
unantania bana. sasa kwanini hanijibu pm zangu?naomba umuulize kwanini hanijibu Pm zangu? inaonekana hakupendi. mbona hajaniambia kama ana mtu?. over

we jitoe ufahamu tu shauri yako...
 
Kwani moja ya Rules za JF ni kuwa ukitumiwa PM ni lazima uijibu? Kutokukuambia kuwa hana mtu ndio inaonekana hanipendi? BTW, angekuambiaje hana mtu wakati umesema hajibu PM zako?

jamani naomba uache matani. uko serious?
Mwenzio namuhitaji.umemuoa kabisa au bado unamdanganyia ufriend. usije ukamkosesha bahati ya kuolewa. kama haupo naye serious naomba umwachie uhuru wa kutafuta ampendae kuliko kumdanganya halafu ukamuacha solemba. over
 
jamani naomba uache matani. uko serious? Mwenzio namuhitaji. umemuoa kabisa au bado unamdanganyia ufriend. usije ukamkosesha bahati ya kuolewa. kama haupo naye serious naomba umwachie uhuru wa kutafuta ampendae kuliko kumdanganya halafu ukamuacha solemba. over

Naona umeanza kutengeneza theories kuwa namdanganya. Kama namdanganya, well endelea kum-PM. Ila sipendi lawama.
 
unatafuta kushikishwa ukuta we endelea tu ..nakuangalia tu unavocheza na waifu wangu...

Hivi wewe ndo EMT au nakufananisha. kwa hiyo ana wanaume wawili? so nani ni nani? over
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Similar Discussions

Back
Top Bottom