Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

Kwani wakuu wa wilaya wametangazwa???
<br />
<br />
Wakuu wa wilaya hawajatangazwa bado sasa sijui Mjasiriamali anasema wakuu wa wilaya wanchi ya ivory cost labda!:Kuhusu UNA ni asasi ya vijana ndani ya UN inayofanya kazi zamaendeleo ya vijana nchini na nje yanchi i.kishirikilana na mtandao wa vilabu vya vijana vya umoja wamataifa mashuleni na vyuoni,UNCTN-YUNA.Naona huyo mjasiriamali ana agenda ya siri na huyo mwanadada!nahuyu NACY NKHUI anazaidi ya mwaka pale kama Secretary General baada ya aliyekuwepo kuachakazi Bwana mmoja anaitwa,KHALID MLANGA,Sasa hii kusema nifresh from college mbona kuna wabunge std7??form four??form six??Mjasiriamali ni wakupuuzwa ni mchonganishi!
 
Ama kweli jambo usilolijua ni kama ucku wa giza. Kwanza hii thread kaweka mwenyewe, pili hii ni mara ya pili kwani mara ya kwanza alipost wachangiajia wakaexpose uchafu wake mpaka akaifuta.any way kutokana na akili mbovu za rais wenu any thing can happen.yangu macho.
 
Dada huyu anastahili post kubwa zaidi uwezo anao keep it up mkiambiwa ccm tuna vipaji mnaleta nongwa!
 
Shez Cute!!
attachment.php

And that's why she got it!
 
Kama ni kweli itakuwa chakula ya bazee!
Naona mambo ya kuhonga ela yamepitwa na wakati wadada wa sasa wanataka IMPROVED STATUS QUO kama RC,DC,ukurugenzi etc
 
Hujamwona LEO akiomba kura bungeni za uwakilishi wa EALA?!!!.....kama ni kweli amekuwa mkuu wa wilaya huko singida, basi huyu mteuzi wenu "mh.Rahisi easy giver n' sukari ya mabinti" anapata uhondo......
 
Amesoma Chuo UDSM ana degree ya Sheria I think aligombea Ubunge wa Viti Maalum hakupata, but she is very bright and smart. And I think she will manage very well if wht u r saying here is true
ACHA USHAMBA AISEE ATA,MANAGE VP ANA INTERN GANI IF AT ALL SHE IS FRESH FROM COLLEGE?We sema tu kwamba Kanumba anamlea lulu mwisho wake leaders club!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Shez Cute!!
attachment.php

Jamani huyu ni mtoto wa binamu yangu aliyezaliwa na shangazi wa bibi aliyemzaa baba mdogo wa ukoo wa mke mdogo wa mjomba. Amenihakikishia kweli wanafahamiana na luteni kanali mstaafu lakini kamwahidi cheo kingine nje ya nchi kabla ya kumaliza ngwe yake ya urahisi
 
Kama ni kazi mr. Anapiga aisee, tokea tumempa dhamana ya kukamata ardhi na vyote vilivyomo Tz, miaka kumi amejiwekea raslimali kila kona na za kila aina
 
Mama weeee
zaituni ndio mkuu wa wilaya????????????????????

sema wewe The Boss lol!
yani hii thread ilipoanza mi sikuwepo humu!yani hapa ni zaid ya msikhara huyu huyu zai kibinda wa forodhani kwa mama busyanya!ahahahhahhahahhahhahahhaa
haya!
 
Last edited by a moderator:
kwanza hili jina la fancy kalitoa wapi! cacico hebu come zis way mtumishidc i think yu hav to see this lol!ahahhahahhahahhahha hata kama iilinipita hii ilikuwa ni noma i see duh!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom